Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Poleni sana jamaniArusha jioni hii hali ya hewa ilikuwa hivyo.
Poleni sana jamaniArusha jioni hii hali ya hewa ilikuwa hivyo.
Naona ulikuwa unamsaidia kuchochea kasi ya pichaJamani
Eti Msaidizi wa mganga...umenionea Sana![]()
Asante, Wapole akina Valee, mimi si dwellerPoleni sana jamani
Pole bila mirinda nyeusi?Poleni sana jamani
Mate unakwama wapi aise!!Mbona umefuta sasa mimi nilitaka nikuone
😂😂Hivi watu mnaweka picha halafu mnafuta ndio nini? Mnaboa![]()
HmmmmAsante, Wapole akina Valee, mimi si dweller
aiseWeka lako
Useme hapa kabisa na ulimwengu ujueKweli we mwanamke changamoto![]()
Nani kafuta?Hivi watu mnaweka picha halafu mnafuta ndio nini? Mnaboa![]()
Zangu ni OG lazima zidumu kwa muda mchache 😂Mbona umefuta ??
Pole dadaHivi watu mnaweka picha halafu mnafuta ndio nini? Mnaboa![]()
yaani nimeona 'vuzi' tu hapo mengine hata sijaona




khaaa we mwanamke changamoto eti vuziSikai Arusha nilikwenda tuHmmmm
😂😂 sahivi tumebaki na manyunyu kwahiyo hiyo pole yako inabidi ije na kikombe cha kahawa
Wataiona kwelii na hilo gizaa
Lakini zi zinatakiwa zifutwe?
NdioooLakini zi zinatakiwa zifutwe?
Mate unakwama wapi aise!!
Kila nikichungulia humu na kuta maneno matupu;
Haha fanya kutupia; tusafishe macho



mbona nimetupia