Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,467
- 203,086
Mshua
Mshua
Si unanivizia nikiwa sipoWewe unakuwaga wapi lakini, yani kila nikiweka nakukosa!
Sema usijali ntakustua ndugu yangu

Lodge 🚶
Mmezima taa
Bien, ¿y tú?
Kwa kuanzia ni hzo limao wote tulioshauri tumekubaliana katika hilo,huna budi kuacha!!Huko ndiyo nilikuwa, IDK nini kimetokea mpaka nimeporomoka hivi na siumwi kitu.
CM za urefu sijui, ila nina urefu wastani.
Ngoja nitafute kapicha
Mimi 😀
Okay,Tufanye tuongeze kilo
Yani wewe bwana 😀
Ngoja nijitahidi kuzirudisha maana daah!Okay,Tufanye tuongeze kilo
52kg is big No..
Yani ulipaswa uwe na kilo kuanzia 58 to 66.
Btw...Nice pic...U photogenic.
The only thing to fear is fear itself
Imani yangu utafanikiwa.Ngoja nijitahidi kuzirudisha maana daah!
Hahahaha, duhLodge![]()