Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha kabisa hizo limao naamini utaanza kuona matokeo mazuri
 
Maji yanafanya mwili unawiri.
Sasa Mimi naweza pitisha siku sijakunywa hata glass1..nakunywa pale kwikwi ikinibana.

Nina nasal polyps(nyama za pua)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hunywi maji mpaka usubiri kwikwi? Duh! We ni noma 😀😀🙌
Ile chupa ya 1½ kwa siku me hainitoshi
12 litres hazimalizi week na hapo mchana nyumbani sipo

Pole, hapo hata sijui kitu
 
Maji yanaongeza kilo? Tatizo lipi tukupe tiba
Maji hayaongezi kilo.
Kuna nutritionist mmoja aliwahi nambia ukiamka asubuh kabla hujala chochote kunywa maji glass moja,hii husababisha kuandaa tumbo kupokea chakula.
Kama si maji kula kipande cha chungwa baada ya muda utaanza kuhisi njaa
 
Yaani hata mimi sijui natoka lini huku.
Mambo yamekuwa mengi sana.

Asante sana🙏🙏

Nitakuwa hapa nikisubiri hizo picha😊😊

Happy to see you
Nitakutafuta
 
Maji hayaongezi kilo.
Kuna nutritionist mmoja aliwahi nambia ukiamka asubuh kabla hujala chochote kunywa maji glass moja,hii husababisha kuandaa tumbo kupokea chakula.
Kama si maji kula kipande cha chungwa baada ya muda utaanza kuhisi njaa
Hii nilikuwa nafanya zamani, nilifika glass 3 ila inaboa sana kususu kila dk
 
Not kama pipi, yan nikihisi pain yoyote ile nishameza panadol. Nilifika stage panadol ikawa haishtuki mwilini, ikabdi nijipe likizo na madawa.
Sahivi nimerudi sawa
Haya madawa ukiyaendekeza siyo mazuri kabisa.
Kuna kipindi na mimi nilikuwa na tabia hiyo,maumivu kidogo nameza dawa ila nashukuru siku hizi nimeacha hata nikumwa simezi dawa hadi nijione nimezidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…