Namna ya kuziacha labda nistop kununua. Ila naweza kustop lakini siku nikiziona tu sokoni basi mate yanajaa mdomoni, koo linaanza kuwasha, akili inakumbuka ule utamu naupata nikila
basi nakuja kushtuka nishanunua, nishafika home nipo nakula
Ila ahsante, itabidi nijizuie sana. Naamini ntawezana