Aise wengine tunatamani kupungua ikiwezekana tuwe hata kama mojaHow can I gain weight?
Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga [emoji13]
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.
Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?
Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .
Numbisa carbamazepine [emoji6][emoji6]
Ngoja nikupelekee kwenye uzi wa likesHow can I gain weight?
Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga 😝
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.
Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?
Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .
Numbisa carbamazepine 😉😉
Yaani Leo sijui hata naziruka vipi picha[emoji1751][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si ndiyo nilitaka nishangae upitwe hivi hivi
Mie sina picha ndugu yangu. Halafu ukiniona utatamani ukimbie mkuu.Embu tukuone wewe mdada
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Tuanze na ya Zoë halafu ifuate ya Saint Anne..
Ya kwako pia inahitajika pia
The only thing to fear is fear itself
Ngoja ni mapemaHaki vile siioni. Naomba nitumie aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itabidi Depal atuambie huu wanga kaanza liniYaani nayo nikikuwa sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona Giza tu na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliahirisha kuongeza mwili baada ya kuona dada zangu wanatamani wakonde ikiwezekana wawe Kama Mimi..naona jinsi wanavyohangaika kupunguza miiliAise wengine tunatamani kupungua ikiwezekana tuwe hata kama moja
Hebu tuanze na yako kwanzaTuanze na ya Zoë halafu ifuate ya Saint Anne..
Ya kwako pia inahitajika pia
The only thing to fear is fear itself
Usiweke sura weka hata mguu au mkonoMie sina picha ndugu yangu. Halafu ukiniona utatamani ukimbie mkuu.
Khaa sasa mbona hausemi ?? Haya niikute kule ndani !!
Hivi alishaweka ya kwake?[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mmhhNgoja ni mapema
Hufanyi mazoezi!??How can I gain weight?
Nimelose karibu kilo 7 kwa April na hii may, last time kupima ilikuwa march na ilibaki kidogo nivuke 60KG, na sina stress nzito nzito na kuhusu kula uwa nakula mpaka baby ananitania food monga [emoji13]
Leo nimepima uzito mpaka nikataka kuukimbia kuwa sio wangu.
Nakula mno limao, yan nakula kama vile nakula chungwa kumbe ni limao. Je inaweza kuwa source ya kunipunguza uzito wangu?
Mnijibu, nimeamua kuandika hapa maana sina muda wa kuanzisha Uzi .
Numbisa carbamazepine [emoji6][emoji6]
Ukiwa moja utavaa nini? Mambo ya kuwa kama umetundikwa mie akuu 😂😂😂Aise wengine tunatamani kupungua ikiwezekana tuwe hata kama moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aki we akili zako, usinenepe mwaya.Mimi niliahirisha kuongeza mwili baada ya kuona dada zangu wanatamani wakonde ikiwezekana wawe Kama Mimi..naona jinsi wanavyohangaika kupunguza miili
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia tecno sio? Huwezi kuonaYaani nayo nikikuwa sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona Giza tu na mimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata hiyo picha ya kuweka huo mguu au mkono sina. Na camera yangu mbovu toto.Usiweke sura weka hata mguu au mkono
Ngoja nikupelekee kwenye uzi wa likes