dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Msabahi, huyo jombaa mkuu unazawekuta ni ndugu yangu, ni kabila Igbo?Mkuu hongera sana kwa huu ujasiri. Umefanana sana na jamaa yangu moja Mnaijeria utadhani ni ndugu yako.
Ngoja ntakuletea picha yake umcheki, nilikuwaga naye ofisi moja hivi.Msabahi, huyo jombaa mkuu unazawekuta ni ndugu yangu, ni kabila Igbo?
Sawa! Sawa! Itakua vyema sanaNgoja ntakuletea picha yake umcheki, nilikuwaga naye ofisi moja hivi.
Weka hako ka picha ka mwisho kwanzaHahaha! Tuma kapicha kako kwanza wewe

😀😀😀Nice
You're so handsome.
Hembu ongeza nyingine ya mwisho iliyo full
Sent using Jamii Forums mobile app
Gorgeous.
Aisee nipo nimeji isolate ila kiu imenikamata, nilivyotoka juzi kati nikaona nichukue na throat sanitizer, i am not going to die soon anyway, not with covid-19...View attachment 1453662
Sent using Jamii Forums mobile app

. Boss hapo ushamaliza kila kitu pamoja na matibabu
Aisee nipo nimeji isolate ila kiu imenikamata, nilivyotoka juzi kati nikaona nichukue na throat sanitizer, i am not going to die soon anyway, not with covid-19...View attachment 1453662
Sent using Jamii Forums mobile app



please don't die the soonest.. We still need you in our revenues
Hii Corona ya kisen... sana. Nimemaliza Netflix yote. Nimekunywa beer hadi nimechoka. Twitter hamna hata issue. jamii forum siku hizi imekuwa ya kidwanzi, kina Paschal wanapost ujinga ujinga tu. Warembo wanaogopa Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app



ngoja niandike ushirika.. Nadhani hapo utaburudika kidogo 
Una kitambi