Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,198
Safi mkuu za siku ??Mambo vipi mkuu......
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyoo kwa taarifa yako hata hatuhangaiki mambo ndiyo yanazidi kunogaNa mtahangaika sana [emoji23]
Yup iko vizuri sana sasa hivi
Hamna kitu dada. Basi tu nawapenda na niliwamiss.
Hivi umepotelea wapi siku hizi we kiumbe ?? Au majukumu yamezidi ??View attachment 1453287
Napita tu
Nipo mama we ndio sikuoni anga zile?Hivi umepotelea wapi siku hizi we kiumbe ?? Au majukumu yamezidi ??
Ahsante Mdogo wangu.. Nakumiss pia.Hamna kitu dada. Basi tu nawapenda na niliwamiss.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Umefanana na Bashite kwa mbali mkuu.View attachment 1453287
Napita tu
Dah hunipendi kwel manUmefanana na Bashite kwa mbali mkuu.
Poa za ww maza teresa 😝😝😝
Salama kabisa mkuu.Safi mkuu za siku ??
Oohh nafurahi kusikia hivyo. Nilikuwa nakusalimu tu mimi.Salama kabisa mkuu.
Shukrani sana mkuu wanguOohh nafurahi kusikia hivyo. Nilikuwa nakusalimu tu mimi.
NjemaPoa za ww maza teresa [emoji13][emoji13][emoji13]