Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,376
Usipokuwepo nao hawasomi.Wawekee ratiba hata ya mara 3 tu kwa wiki. Unaangalia muda ambao unaweza kusoma nao....inasaidia wasisahau.
😁😁😁😁😁 Mamoja, makumi, mamia na maelfu ....Izo hesabu Ni za mamoja kingozi?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Asante 🙂🙂Usipokuwepo nao hawasomi.
Ni wasumbufu Sana.
Nimependa mwanao anavyosoma[emoji3590]
Sent using Jamii Forums mobile app
Vry true bila kaukatili fulani toto linakupanda kichwani,Asante [emoji846][emoji846]
Inabidi uwe unawapiga biti. Kama kazi za kufanya zipo unawanyima kufanya vitu wanavyopenda mpaka wasome . Yani hamna TV, Games, Cartoons, kuendesha baiskeli etc. kama mtu hajatimiza kile ulichompangia na usimamie kweli msimamo wako bila kutetereka.....mbona utafurahi mwenyewe.
Hahahaaa wewe si umetukimbia unakesha kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara. Ule uzi unaonekana unawanenepesha sana kwenye lockdown hii.
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji847][emoji120][emoji120]Asante [emoji846][emoji846]
Inabidi uwe unawapiga biti. Kama kazi za kufanya zipo unawanyima kufanya vitu wanavyopenda mpaka wasome . Yani hamna TV, Games, Cartoons, kuendesha baiskeli etc. kama mtu hajatimiza kile ulichompangia na usimamie kweli msimamo wako bila kutetereka.....mbona utafurahi mwenyewe.
Mmhh mbona nimeshawahi kuzifuma comments zako kule ?? Mie sijambo kabisa vipi dada yangu mzima ??Hahah ule uzi mimi msomaji tuu. Wala sijawahi kuweka koment.
Hujambo
komesha korona
dah hatimae nimekupata hukuMmhh mbona nimeshawahi kuzifuma comments zako kule ?? Mie sijambo kabisa vipi dada yangu mzima ??
Ulikuwa unanitafuta wapi mkuu ??dah hatimae nimekupata huku
we acha tu za siku mingi??Ulikuwa unanitafuta wapi mkuu ??
Salama tu. Usiniambie na wewe ulikuwa unanitafuta kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.we acha tu za siku mingi??
hapa nikipitaga kule natesekaga bureSalama tu. Usiniambie na wewe ulikuwa unanitafuta kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.
pole
mi niliibambia ya Depal kapo fine, ila wapo na speed ya 5g kwenye kufuta