Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Daah sina picha kabisa yaani
Daah sina picha kabisa yaani
Sina picha kakaake nilifuta zoteImekuwa mda, embu tukumbushie Dada ake
Hahahaaa wewe si umetukimbia unakesha kule kwenye uzi wa kula tunda kimasihara. Ule uzi unaonekana unawanenepesha sana kwenye lockdown hii.Nimekuwa nakutafuta saana. Kumbe upo night shift
komesha korona
Sasa mbona umeifuta kabla hajaiona ??
Guuuuuuuuuuuu
Ndio jina lake?
Oooh kumbe!! Ni dawa ya nini?
ckupigaHuku piga hata ka screenshot hapo unitumie pm tumuone huyo mrembo
Oooh kumbe!! Ni dawa ya nini?
Umepitwa na nini darling?Nimepitwa sana, jamani nimepitwa dah!!
Hayatibu upampula?
Good thing darling, vitu vizuri tu ujuwe!!Umepitwa na nini darling?