Selfika na JF: Snap it. Show it

Dah! Jana usiku ulikuwa ni usiku mbaya sana.

Nimeota tumevamiwa na simba dume.

Badala ya kugangamala tupambane naye, kila mtu akatawanyika.

Halafu mbio za usingizini hovyo sana. Mtu unakimbia taratibu sana halafu kwa mbinde huku simba yuko nyuma yako.

Baadaye kidogo ndo unastuka na kuona kuwa ilikuwa ni ndoto tu.

Ndoto imenivuruga.



Nimeamua nije hapa nizimalizie hasira zangu kwenye hii makitu.

 

Hahahaha, sipati picha na rangi yake wakati unajirusha kitandani lakini upo pale pale



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…