Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Wewe umepania sana jamaniKama Mbuzi anagonga nyungu mimi ni nani hata nikatae kupiga nyunguu? View attachment 1436482View attachment 1436483
Jr[emoji769]
Wewe umepania sana jamaniKama Mbuzi anagonga nyungu mimi ni nani hata nikatae kupiga nyunguu? View attachment 1436482View attachment 1436483
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23]Kindakindaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani humwambii chochote
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengi bhana sio kwamba nimekuwa msanii
Hvi sijakuona siku kadhaa eti!??au macho yangu!!?Mambo mengi bhana sio kwamba nimekuwa msanii
Ni kweli sijaonekana siku kadhaa.
Mambo mswano,Ulipojichimbia hujabahatika kupata chanjo ya Corona!!??Ni kweli sijaonekana siku kadhaa.
Mambo ni aje
Upana na unene wa vidole vyako Depal unasadifu kuwa yaliyomo yamo mkuu[emoji1]View attachment 1434812
[emoji300]
Huku tunapiga nyungu tu,Si nimesikia tupo kwenye wiki ya kupiga nyungu??Mambo mswano,Ulipojichimbia hujabahatika kupata chanjo ya Corona!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nawe ni mdau wa nyungu aiseeHuku tunapiga nyungu tu,Si nimesikia tupo kwenye wiki ya kupiga nyungu??
Dawa naona tunasubiri wazungu watuletee
Mambo yako haya!!Huku tunapiga nyungu tu,Si nimesikia tupo kwenye wiki ya kupiga nyungu??
Dawa naona tunasubiri wazungu watuletee
Tumeambiwa tusione aibu,au hujasikia?
Hahaha!!
Mie sioni aibu niko busy kunyunguaTumeambiwa tusione aibu,au hujasikia?
Ushaambiwa ndio tiba hatuna muda tena wa kuusikiliza moyoHahaha!!
Kuna mambo yanataka moyo aiseh
[emoji23][emoji23][emoji23]uko vizuri
Hadi corona iishe tutakuwa tumeona na kusikia mengi sana
Mshana hilo jani linatumikaje