Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
HeeHahaha yani acha tu
Noo Yani ni ndio taswira inayojijgenga kichwani kuhus Saint Anne, iko that way
Noo Yani ni ndio taswira inayojijgenga kichwani kuhus Saint Anne, iko that way
Na najua nimelenga mule mule
Nasubiri picha yako
Mimi ni Antagonistic nafanya kazi kupishana kucheka kwang ndio kusifia
.
Happy birthday Sana
Nafata tuu mkumbo Saa sita si bado
Lakini
Nakutania mkuuAaaaaahh
Hembu tuma yang nione
I liked this game
NasubiriPM bhana itakudondokea
Nakutania mkuu
Umelenga mulemule..halafu hiyo picha Kama yangu hivi
Kuna kipindi nilikuwa na nyau, alikuwa anapenda Sana kukaa pembeni yangu.
Kuna kipindi nilikuwa na nyau, alikuwa anapenda Sana kukaa pembeni yangu.
Sasa siku moja nikawa nipo nakula huku nikisubiri maziwa yachemke motoni..akawa amekaa pembeni..
Yale maziwa yakachemka yakataka kufurumia juu..Mimi kuzuia kufurumia si nikajidai kuepua sufuria kwa mikono,likanishinda nikamfunika Yule paka
Paka alilia Kama kuku anayewika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha aisee we muuaji jamani sipati picha nyau alikimbilia wapi baada ya kuokoka.Kuna kipindi nilikuwa na nyau, alikuwa anapenda Sana kukaa pembeni yangu.
Sasa siku moja nikawa nipo nakula huku nikisubiri maziwa yachemke motoni..akawa amekaa pembeni..
Yale maziwa yakachemka yakataka kufurumia juu..Mimi kuzuia kufurumia si nikajidai kuepua sufuria kwa mikono,likanishinda nikamfunika Yule paka
Paka alilia Kama kuku anayewika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nyau vilaza sana mi siwakubali kivileee ht hicho chenyewe nilikiona kinatetemeka baada ya kuloana na mvua so kikaja kupata faraja ila isingekuwa hivyo aaah ningekiswagia mbali.Kuna kipindi nilikuwa na nyau, alikuwa anapenda Sana kukaa pembeni yangu.
Sasa siku moja nikawa nipo nakula huku nikisubiri maziwa yachemke motoni..akawa amekaa pembeni..
Yale maziwa yakachemka yakataka kufurumia juu..Mimi kuzuia kufurumia si nikajidai kuepua sufuria kwa mikono,likanishinda nikamfunika Yule paka
Paka alilia Kama kuku anayewika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema nyau vilaza sana mi siwakubali kivileee ht hicho chenyewe nilikiona kinatetemeka baada ya kuloana na mvua so kikaja kupata faraja ila isingekuwa hivyo aaah ningekiswagia mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alizunguka kule jikoni, akaenda store akarudi..Hahahahaha aisee we muuaji jamani sipati picha nyau alikimbilia wapi baada ya kuokoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi atakuwa alisamehe 7×70 akajua bosi alighafilika tu na moto wa sufuria.Alizunguka kule jikoni, akaenda store akarudi..
Yaani nilimuonea huruma sana
Sent using Jamii Forums mobile app