Hongera unajielewa Mkuu.
Maana wadada wengi unakuta wamepaka bleach na kisha way hata salamu unaogopa kutoa maana unaweza jikuta wanakucharge hela ya salamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bleach binafsi napenda.. ila nature ya kazi yangu hairuhusu.. Ila Mwanamke kuweka way kwangu naona imekaa kihuni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkishapena namba kinachofuata ni siku ya kuliwa kimasihara
Kama vp ustafu tu bwanaBado tu hawajarogeka? Subiri nikoleze
Jr[emoji769]
Love at the first sight unaijua mkuuTeh teh ingekuwa rahisi hivyo basi wengi tungeliwa kimasihara sana tu, maana wengine tuna hadi namba za freelancers wa kusajili line za simu nini vinyozi.
😂😂😂Mkishapena namba kinachofuata ni siku ya kuliwa kimasihara
Shee kunenepa na kupendeza wakati nakudai ni "mazereu".Kausha shee
Jr[emoji769]
Love at the first sight unaijua mkuu
Nilikuwa na imagine Karma anaelekezwa butchery.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi umewaza nini?
Endelea kukazaDon't ask me about love at first sight please, I'm still confused with the left and right socks. [emoji16][emoji16]
Ebu tupia pic ukiwa na hiyo way kwa msaada wa emoji kificha usoSioni shida katika way...binafsi
Makiseo yale mawigi uliyokuwa unavaa zamani hayana way?
Kuna way ya kitana na way ya machine. Sometimes esp. Weekends nawekaga way ya kitana
Just a fashion..... mambo ya uhuni ni tabia binafsi, either una low curt plus way, hijjab, mawigi, unasuka kama una tabia za kihuni hizo ni zako tu.Namaanisha ile ya mashine, kuweka ni ulimbukeni au uhuni?
Ingia Insta ukaziangalie hukoEbu tupia pic ukiwa na hiyo way kwa msaada wa emoji kificha uso
Nitatambua vip kwamba hii ni acc ya Depal?Ingia Insta ukaziangalie huko