mimi tenaπ nimeenda nunua maziwa sana hapo kibanda maziwa
njia yangu kuu hiyo ya kwendea Tejoo,pale kuna shortcut ipo nilikua
napita naenda tokea tejoo,mara paap Nishafka maromboso shule huyooπ
π
ushapata picha jinsi nilivyo muhenga eeehππ