Dadaa naomba unisaidie nifanye nywele zangu zisikue haraka. Mwanzo niliona sifa kwakua nilikua napewa hela ya kunyoa. Ila now naona inavyo cost... Nikinyoa within a week nywele zimejaa zahitaji saloon.
Jan nilinyoa zotee kabisa ila zimekua kama zilivyokua. Nikizivuta zinavika kwenye macho. Zitanifilisi kwakwli. 2000 per weekView attachment 1403844
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani naelewa na hili joto ukisema unasuka yebo au style nyingine plus mba unafumua mapema mno .Zinachosha dear..haswa wakati wa joto loh!! Na mambo ya kuchana kila siku ngozi ya kichwa inaniuma hata kusuka mtihani pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu my dear..ila namshukuru Mungu sijawahi kuwa na tatizo la mba..Hadi najishangaa..Nina dada angu akisuka utamuonea huruma anavyojigonga gonga kichwani sababu ya mba..anapenda suka Rasta ila mba mweeh!!Yaani naelewa na hili joto ukisema unasuka yebo au style nyingine plus mba unafumua mapema mno .
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakina mama wengi hupenda curl vipi vile rough unaweza weka View attachment 1403843
Sent using Jamii Forums mobile app
Mba zinatesa mno hizo anti dandruff zenyewe hazisaidii .Acha tu my dear..ila namshukuru Mungu sijawahi kuwa na tatizo la mba..Hadi najishangaa..Nina dada angu akisuka utamuonea huruma anavyojigonga gonga kichwani sababu ya mba..anapenda suka Rasta ila mba mweeh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungejaribu uone mie nasuka tu bila kujali mwisho wa siku naona nmependeza .Uwiiii rough dread huwa natamani sana niweke, ila nikiwazia hiki kichwa changu kinavyochekesha najikuta roho inasita.
Hizo napenda nione mtu mwingine kaweka
Tips za kufanya nywele zisikue haraka (Google)
Yaani naelewa na hili joto ukisema unasuka yebo au style nyingine plus mba unafumua mapema mno .
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha tu my dear..ila namshukuru Mungu sijawahi kuwa na tatizo la mba..Hadi najishangaa..Nina dada angu akisuka utamuonea huruma anavyojigonga gonga kichwani sababu ya mba..anapenda suka Rasta ila mba mweeh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo afro kinky ni nzuri kuna mtu nilimuona amekaa nayo miezi 5 ni kurepair tuh . Mimi siwezi kukaa na nywele muda mrefu style moja huwa naishia kufumua .Mie ndiyo maana nilivyokuwa nasuka nilikuwa napenda sana kusuka afro kinky, maana zile kama ni mtunzaji mzuri unakaa nazo hata miezi mitatu unakuwa unarepair mbele na nyuma tu.
Sipendi kusuka nywele ambazo zitanilazimu kufumua kila baada ya wiki au mwezi
Ungejaribu uone mie nasuka tu bila kujali mwisho wa siku naona nmependeza .
I'm sure utapendeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tips za kufanya nywele zisikue haraka (Google)
Use hair-growth inhibitor lotion. These lotions generally contain soy extracts that slow hair growth. If you use it regularly, you'll notice the hair in the area growing in more finely and less frequently. You can find hair-growth inhibitor lotions in most drug and cosmetic stores.
Eat soy products. Soy contains phytoestrogens, nature's equivalent of estrogen. Since testosterone leads to increased hair growth, you can reduce hair growth by consuming this estrogen-like food product. You can find soy in a variety of different foods, such as tofu, soy nut butter, soy milk and edamame.
Try Kalo. This herbal supplement can naturally reduce hair growth. You can find it in most herbal and health stores in liquid, powder and pill forms.
Consume a healthy diet that is rich in nutrients and vitamins. Poor nutrition can lead to excess hair growth. If you consistently get solid nutrition from a well-balanced diet, it may slow hair-growth cycles.
Talk to your doctor about prescription hair-growth treatments. There are various topical treatments, such as Vaniqua, that can slow hair growth. There are also oral prescription medications which interfere with hair-follicle receptors to stunt growth cycles. You do need to continue using the medications to maintain the slower hair-growth rates.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo afro kinky ni nzuri kuna mtu nilimuona amekaa nayo miezi 5 ni kurepair tuh . Mimi siwezi kukaa na nywele muda mrefu style moja huwa naishia kufumua .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi za kichwaHiyo inasaidia kutokuwa kwa nywele zote au za kichwani tu
Wewe uko kama rafiki zangu wengi, unakuta mtu kasuka nywele nzuri za gharama ila eti baada ya wiki anafumua. Nikasema mie huo ujinga siwezi, acha ninyoe tu.