Selfika na JF: Snap it. Show it

No siyo beauty plus, camera ile yenyewe ya simu ndiyo inanibeba. Mie situmiagi hizi camera za kuinstall labda mtu mwingine ndiyo anipige picha kwa camera hizo, tena kwenye simu yake yeye kwenye simu yangu mi sinaga, na snapchat ndiyo kabisa sitaki hata kuisikia, katika mitandao ambayo sijawahi kuipenda mojawapo ni snapchat.
Hehehe wazee wa beauty plus sio? Ila haijalishi kama mzuri mzuri tu ila naona we hujakutana na wale ambao mpaka snapchat imewakataa

Me yale macho tu, woii
 
Ila mie kuna watu niliwataarifu kabisa naenda kunyoa, hakuna aliyeniunga mkono hata mmoja walijaribu kunibembeleza weee wapi mwisho wakasema niamue ninachotaka.

Mwenzao nywele zimekatika kabisa eti wao wananiambia mbona ndefu tu hizo
Una tabia mbaya sana
 
Hiyo curly niliwahi kuweka nikiwa na nywele ndefu, nilikaa nayo miezi mitatu tu nikarudi kwenye relaxer. Akha vilinishinda mie vya kupaka ile mimafuta ya gel kila siku na kulala na shower cap na nilivyo mvivu kutunza nywele nikajisemea cha kufia nini, mama yangu ndiyo team curly toka enzi hadi leo.
Kusuka mateso, unless uwe na nywele nyingi kama yna2.
Nyoa weka curl ndio nzuri kuliko wave
 
Wakina mama wengi hupenda curl vipi vile rough unaweza weka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…