Selfika na JF: Snap it. Show it

Oohh kumbe ndiye yule wa mlimani city, huwa nasikia watu wengi wanamsifia ila sikujua kama anaitwa hivyo. Mie ninaye kinyozi wangu yuko makumbusho ananyoa vizuri, ila next time nitaenda kwa huyo cutting master.
Mlimani City huko.
Yule kaka ananyoa jamani
 
Oohh kumbe ndiye yule wa mlimani city, huwa nasikia watu wengi wanamsifia ila sikujua kama anaitwa hivyo. Mie ninaye kinyozi wangu yuko makumbusho ananyoa vizuri, ila next time nitaenda kwa huyo cutting master.
Hata Yule kinyozi wako ni mzuri, niliona zile picha πŸ‘Œ
#BabyEyes 😍😍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…