Harrier ina tatizo gani mkuu? Hapa nilipo nadunduliza vijisenti mwezi wa 6 nami ninunue. Kama haifai toa angalizo la kitaalamu mkuu (kama siyo mambo ya akina Kiduku Lilo)

Gari unanunua kulingana na matumizi, mazingira, na mfuko. Lazima uzingatie factors kama upatikanaji wa spare parts, engine size(mafuta), umri wa gari, n.k. Baada ya hayo sasa unafuata fahari ya macho.