Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuchangamshe uzi kidogo, Post picha ya impression ya member wa selfika! Wengi hatujaona sura za members wengi ila Nina uhakika kuna sura unaijena akilini au unamfananisha na character flani hata wa kwenye movie au kitabu au mtu flani. Tuanze.

1. Sakayo

2. Depal

3. Mshana Jr

4.Roger

Endeeeni 🀣

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwamba kwanini watu walalamike kuwa eti huu uzi umekuwa wa kujimwambafy ??

Nimeona watu wanalalamika kwenye nyuzi nyingine huko kuwa eti huu uzi siku hizi umekuwa wa kujimwambafy eti ndiyo maana wameondoka sasa kwanini yaani ??
Ni matatizo yao binafsi πŸ˜€
Mtu anapost kile anachojisikia kushare nasi mtu mwingine huko anaanza kupata sononeko, me nimeshindwa kuwaelewa.
 
Lol purple suit, mkuu? Ni nani huyo btw?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Khaa jamani!! Karma sijapendelewa sana, she's natural beauty, I'm too kwan me ushawai niona nimepaka madude usoni πŸ˜€
 
Kwamba kwanini watu walalamike kuwa eti huu uzi umekuwa wa kujimwambafy ??

Nimeona watu wanalalamika kwenye nyuzi nyingine huko kuwa eti huu uzi siku hizi umekuwa wa kujimwambafy eti ndiyo maana wameondoka sasa kwanini yaani ??

Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…