Mali za wenyewe hizo... Mi wa madongo kuinama maji ya ugoko sikaribii wala hata kunusa aiseeKweli nyie vibopa mnafaidi
Amu gudi gudi, senksi tuu olumaiti Godi..
Hahahaha
Muktanda 😂😂😂
Semu semu amu welii senksi mai dia... Endi amu gladi yua fainii asiii kapu kekiAmu gudi gudi, senksi tuu olumaiti Godi..
Hau izi yuu
View attachment 1355118
Back in 1997
Nashow off my RosaryDa vincci kwaresma itaanza Feb 26, jiandae





Zilikuwepo, we wa 2000 utajulia wapi eti! 😂
Hivi kulikuwa na selfie?!
amu gladi tuu tu noo yua weli..Semu semu amu welii senksi mai dia... Endi amu gladi yua fainii asiii kapu keki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu hukoo...Zilikuwepo, we wa 2000 utajulia wapi eti!![]()
Na hiyo akiii tena... Itabidi niite UT waje wakakufanyie thara investigesheni kwanzaHahahaha
Yeah alikuwa msupuu akii

Fenesi?!
Weeee usitufanyie hivyo tafadhali... Kaa humo humo tu
We huku kwetu Buza zilikuwepo selfie, sema kulikuwa na Smartphone moja na ilikuwa inakaa kwa Mtendaji wa kata 😂😂😂Hebu hukoo...
Mimi mepiga picha studio unaenda zifuata baada ya mwezi mmoja waoshe!