Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Wori auti dia, letsi [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Hahahhahaha nimeleta ubunifu au siyo.... Letsi kipu enjoyingi iti jamani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wori auti dia, letsi [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Hahahhahaha nimeleta ubunifu au siyo.... Letsi kipu enjoyingi iti jamani..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usinisahau na mimi jamani dada
[emoji39][emoji39]
HahahahahaSure man, unatembelea comments zote haukuti selfie unakuta showoff za magari, vyakula, picha za migahawa na mahotels.
Mwanzo huu Uzi ndio ulikuwa na maana watu wanaweka selfie zao sasa hivi ni maonesho ya ulichonacho.
Wakubwa wanafaidi jamani [emoji8][emoji8][emoji8]After a long weekend of being sick, here comes my new Monday as Wednesday
Aisee acha ukorofi.
Duuh hii siku itaisha salama kweli?After a long weekend of being sick, here comes my new Monday as Wednesday
[emoji777][emoji2404][emoji777][emoji2404]Wori auti dia, letsi [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nimeizoea hii kauli kutoka kwa mabaharia[emoji85][emoji85].... Afu siyo wakubwa bali ni vibopa/pochi neneWakubwa wanafaidi jamani [emoji8][emoji8][emoji8]
Hahahahaha
HahahahaNimeizoea hii kauli kutoka kwa mabaharia[emoji85][emoji85].... Afu siyo wakubwa bali ni vibopa/pochi nene
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitaka tuweke sura zetu? Anza wewe kutupa mwongozoSure man, unatembelea comments zote haukuti selfie unakuta showoff za magari, vyakula, picha za migahawa na mahotels.
Mwanzo huu Uzi ndio ulikuwa na maana watu wanaweka selfie zao sasa hivi ni maonesho ya ulichonacho.
Kwahio mlitaka tuweke sura zetu? Uzi hauna negative vibes mmesahau kusema nyinyi sasa mnaleta negative vibes. Watu wanapost vitu wapendavyo nyinyi mnasema show!
Btw lile dongo la tunaopost visahani vya 360 limenifikia wacha tujimwambafai.
Mimi nauelewa huu uzi vizuri sana.
Phase zote hazinipi favor, maana sura ya kutuma sina, wala vitu vya ku-show off sina.
Ila nafurahi na napata changamoto ya kujibidiisha ili nipate cha angalau kujipa nacho matumaini.
To me it is inspirational thread.
Napenda pia kwamba ni thread isiyo na negative vibe, watu wako positive na wana appreciate kila kinachopostiwa humu.
Usitunyooshe sana jamani, wengine tunasafisha macho tuu jamani!!Kwahio mlitaka tuweke sura zetu? Uzi hauna negative vibes mmesahau kusema nyinyi sasa mnaleta negative vibes. Watu wanapost vitu wapendavyo nyinyi mnasema show!
Btw lile dongo la tunaopost visahani vya 360 limenifikia wacha tujimwambafai.
Kaka yangu mimi jamani!!Dada hebu tuangushe moko moko....
Jr[emoji769]
Hiyo saa nilishasema inifikiee kaka...Yeah si lazima sura.. Muktanda wa mada unaruhusu.. Hata jicho au mwanya kama unao sawa tu[emoji30][emoji1][emoji86]mimi naanzaView attachment 1355098
Jr[emoji769]