Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485



huwa nasave picha za watu ninaowapenda tu na unajua hilo,, sasa jifanye unanitwisha kibarua kingine tu bila sababu..
Sent using Jamii Forums mobile app



huwa nasave picha za watu ninaowapenda tu na unajua hilo,, sasa jifanye unanitwisha kibarua kingine tu bila sababu..



yaani mkuu juzi juzi tu nimetoka kununua simu mpya,, kwahiyo kila kilichokuwa kwenye simu ile ya zamani kilifutwa na sikuhamishia popote..
Basi weka ile uliyokuwa na mpendwa dear Mama.
Yaani umasikini mbaya sana,siku nikiwa tajiri nanunua sehemu kama hiyo yote naishi peke yangu na shamba langu la bhangi.
Dah nimesikitika sana.yaani mkuu juzi juzi tu nimetoka kununua simu mpya,, kwahiyo kila kilichokuwa kwenye simu ile ya zamani kilifutwa na sikuhamishia popote..
Sent using Jamii Forums mobile app
AimeennnYaani umasikini mbaya sana,siku nikiwa tajiri nanunua sehemu kama hiyo yote naishi peke yangu na shamba langu la bhangi.
Lushoto dear
Nasubiri ujuehuwa nasave picha za watu ninaowapenda tu na unajua hilo,, sasa jifanye unanitwisha kibarua kingine tu bila sababu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuuu tunashituana ety..
Ndio ww nn!?
Atakua amezioata mkuu@Paula Paul:
Nimecheka jamani.Atakua amezioata mkuu@Paula Paul: