Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

.
Guu la kiatu au la raba Tojo?[emoji1]View attachment 1346555
Screenshot_20200204-134540.jpeg


Jr[emoji769]
 
Lol, usije ukakosa pumzi,halafu ukalegea, ukashindwa kushikilia simu ikaanguka, kisha nawewe ukaanguka, "wapendwa" wakafanya "njia" juu yako, wakakukanyaga halafu ukakufa tuu.
[emoji23][emoji23] watesi wangu wote nimewapiga upofu kazi kwako tuu kunuelekeza kwakuchukulia zawadi yanguu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom