Nimewahi kuweka huku na sikuziba sura.
Basi nilipitwa[emoji134]Nimewahi kuweka huku na sikuziba sura.
Ngoja nipige nyingine niweke.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Mimi hapa.View attachment 1333156
Mimi hapa.View attachment 1333156
Twin nitamwambia akikubali nitaweka.
Lakini ushawahi ipost hapa.
Mimi sijamzidi Karma[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyuma sidumbukii.Kiranga Mkuu angalia usidumbukie huko nyuma, You Look smart. Kudos. Na yale mambo unaweka, unamatch 100%.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hii picha ilibidi iwe na quality ya miaka ya 90 -2000 Mr. Ila kwa haya mandhari inaonekana ni ya 2015-2020.
Ambapo kwa namna uliingia Webster Hall 2007, na heshima uliyopewa, na kummaliza James H Chase miaka ya 80-90 huu hauwezi kuwa umri wako[emoji4][emoji4][emoji4]
Mimi sijamzidi Karma[emoji23][emoji23][emoji23]
Karma Ni kinara wa huu uzi Hadi mods wakamzawadia sehemu ya Uzi huu Kama zawadi..
Ana thread yake Sasa,sehemu ya hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app