Kakuwa...!!!
Jr[emoji769]
Heavyyyyyy.
Hatimaye umeweka picha yako bossTop brass, Chief of Staff
Aston Grey Collection, CognacView attachment 1332295
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona niliweka nyingine nafungua Champagne ya mwaka mpya, hukuiona?
Basi nilipitwa[emoji134]Mbona niliweka nyingine nafungua Champagne ya mwaka mpya, hukuiona?
Wasiojulikana hawakawii ujue.Basi nilipitwa[emoji134]
Huwa naona tu za viatu na manukato.
Tupia nyingine Basi boss
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaahWasiojulikana hawakawii ujue.
Nimepiga hapa kamera imetoa message, imeniambia "sura yako mbaya sana mpaka picha inaungua".Hahahahaah
Hawawezi kukukamata.
Weka Basi tusafishe macho[emoji3526]
Mimi sikuona ya mwaka mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hivyohivyo boss[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimepiga hapa kamera imetoa message, imeniambia "sura yako mbaya sana mpaka picha inaungua".
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nataka nikiweka nisitoe...Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinifanyie hivyo boss..
Nipo mwenyewe tu hapa,weka dk 1 tu halafu utatoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka BasiMi nataka nikiweka nisitoe...
Kiranga Kong
View attachment 1332511
Hahahaha ,wazee wa kusaini Mou