Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,547
- 18,261
Naweza kufika tatizo hilo Jina la saint utanipiga neno la bwana usiku kucha ntashindwa kula mmea Anne.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unakujua???
Mm nimejaa mavigimbi vya maporomoko ya mvua na milima
Ukifika nakupa mji.
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaahNaweza kufika tatizo hilo Jina la saint utanipiga neno la bwana usiku kucha ntashindwa kula mmea Anne.
Afu kujifanya unavigimbi, vigimbI vinapigwa masaje vinakuwa soft tu.
Mimi.Huyo ni nani jamani View attachment 1327712
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bado nitamfuata tena na kumuongezea mshiko mwingine ahakikishe anakutrack kila unapofungua id mpya anakupiga ban halafu anaiacha hii tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Lol itabidi tumtafute member unayemkubali sana humu (kama hajapigwa ban) atusaidie kukubembeleza labda utakubali sisi tumeshindwa kazi [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh niliivua kulikua na mvua... Mzima wewe lakini? Za weekend?
OhOh niliivua kulikua na mvua... Mzima wewe lakini? Za weekend?
HahahahaahAfu kujifanya unavigimbi, vigimbI vinapigwa masaje vinakuwa soft tu.
Ni wewe kabisa mkuu mungu wangu kumbe mzuri hiviHuyo ni nani jamani View attachment 1327712
Wewe unanyoa banaMimi.
Anhaa sawa mkuu kama una mwanao mlete tu nimfundishe hata hati za kiswahiliUnaonekana tu.
Huwa naona miandiko ya rafiki zangu waliyoandika hiyo lugha
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila picha mi ntaamini unabonge la nyaaa kama la yule Mdada y2k.Hahahahaah
Vitarudi Tena,haya maporomoko sio kabisa.
Itende ndani ndani Huku..kheri uishie mabatini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeikuta kwenye uzi wa selfie hukoo bana!!
Usijali nitaitupia kule inbox.Oh
Ukikivaa tupia moja tusafishe macho.
Mimi mzima,, weekend njema,
Vipi Khali yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
TobaaaBila mi ntaamini unabonge la nyaaa kama la yule Mdada y2k.
Ngoja ufungwe nikuzomee vizuri..Usijali nitaitupia kule inbox.
Nami niko vizuri, namalizia weekend na hii game ya Manchester na Liverpool.Natumai utanisupport kushabikia Manchester United.
Anhaa sawa mkuu kama una mwanao mlete tu nimfundishe hata hati za kiswahili
Sent using Jamii Forums mobile app
Umpe nini dear 😀