Selfika na JF: Snap it. Show it

mwee mie uzunguni napafahamu kwa mkuu wa mkoa na hoteli ya sugu tu basi huko kwingine sipafahamu,, mie siyo wa ushuani huko kaka mie wa uswahilini kule forest ya zamani na mabatini ndiyo mitaa yangu..
Lini Dadake nijipange unipeleke uzunguni kwa kina Dr Mponjoli na God Malakasuka nikabembembee mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…