Selfika na JF: Snap it. Show it

moja kati ya kitu ambacho google wananifurahisha katika google map ni timeline update.

hii kitu inafanya kazi very accurately. haidanganyi wala wewe huwezi kuidanganya. labda ufanye hivyo ukiwa unatumia simu ambayo imefanyiwa rooting(kwa wale watundu wa kucheza na simu).

hizi ni screen image kutoka kwenye timeline yangu hivi karibuni, ikionyesha baadhi ya maeneo niliyoyatembelea nilipokuwa vacation stone town, zanzibar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…