Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Hahahaha, ushafika hadi huko Wasap ?asee
MTC | 101| [emoji769]
Nimekuwahi mzee?
Hahahaha, ushafika hadi huko Wasap ?asee
MTC | 101| [emoji769]
Hahahaha, hapana nafuatilia maongeziNimekuwahi mzee?
Hahahaha, hapana nafuatilia maongezi
MTC | 101| [emoji769]
Ulimwengu umejaa watu waovu....Ila watu wema pia wapo.
LINDA WASIOJIWEZA,PIGANIA WASIOWEZA KUPIGANAView attachment 1313492
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...zinaingiaga message za magroup nyinginyingi najikuta napata uvivu kutafuta.Mtu mwenyewe whatsapp hauonekani ile meseji ya mwisho niliyokutumia siku ile hadi leo inaonesha bado haujaisoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, si ndio km hivi unafanya come back ,Mkuu kusawazisha ulipokosea kisha una scoreNimechombeza tu mkuu, huyu Karma nimeshakosea timing toka mwanzo.
Akipita hapa ataona ila nitazifikisha hizi salamu mama beijing[emoji120][emoji120][emoji120]Yaani yule alikuwaga anaishia kulalamika kuhusu feminism tu
Oohh muambie namsalimu sana mimi jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, si ndio km hivi unafanya come back ,Mkuu kusawazisha ulipokosea kisha una score
MTC | 101| [emoji769]
Nakuapia utakunywa tu hata week 2 haziishi trust meBia yangu ya mwisho kwa mwaka 2020.
No more alcoholView attachment 1313342
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuapia utakunywa tu hata week 2 haziishi trust me
Shukrani, heri kwako pia.
Hilo "kaka" limetoka wapi?
Nimechombeza tu mkuu, huyu Karma nimeshakosea timing toka mwanzo.
Duh...zinaingiaga message za magroup nyinginyingi najikuta napata uvivu kutafuta.
Nikifika naweka status naondoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Akipita hapa ataona ila nitazifikisha hizi salamu mama beijing[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960] ohh kumbe we ni shemeji yangu sorry shem nilijisahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Shemeji imeisha 2019, sasa hivi tunaanza mapya.