Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,767
Bora kama umeanza kusave mwaka huu mpya. Maana sina plan ya kupost picha mwaka huu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikuzisave kweli mwanzo nilikuwa sisave picha ya mtu yeyote nimeanza kusave picha za watu juzi juzi tu kwahiyo zake zilinipita
Sent using Jamii Forums mobile app