Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kipara kipya na nduguze
tapatalk_1578059198823.jpeg
super selfika

Jr[emoji769]
 
Huyu naye sijui kapotelea wapi..
Lizarazu popote ulipo njoo hata utupungie mkono

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na Karma hamna lo lote nyie. Mnataka tu kuona siksi paki za Msukuma. Nipeni hela niwatafutie huyo dogo. Alienda kuchukua kozi fupi ya lugha ili kuimarisha kimalkia chake [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yaani tukupe hela umtafute?!!
SI Bora nikamtafute mwenyewe[emoji1]..
Sasa kile kimalkia chote anachokimwaga,anaenda Tena kuongeza doh[emoji134]anataka amfikie P lumumba[emoji848].
Ila zile siksi paki dah karma amezimiss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom