Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AimenUlinzi wa MUNGU ukaambatane na kila mmoja wetu,mwanzo Hadi mwisho wa mwaka huu 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
AimenUlinzi wa MUNGU ukaambatane na kila mmoja wetu,mwanzo Hadi mwisho wa mwaka huu 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinzi wa MUNGU ukaambatane na kila mmoja wetu,mwanzo Hadi mwisho wa mwaka huu 2020
Sent using Jamii Forums mobile app
Aimen
EeeehhhHa ha dada mpendwa huyu mtu kanipasua wiki mbili zilizopita hizi nazila mwenyewe leo, labda hasira itapungua zaidi
Happy New year to you too babe!!
Love you more, mimi sijambo dear...vipi wewe
WoooooyooooooOyooooooooo piga keleleeeeee
Angalia kwa nguvuuSasa mboni sioni kitu?![]()
Kwa wakati huu uwezo wangu wa kuona hauko ktk kiwango cha siku zote😄Angalia kwa nguvuu
ameeeeeeeennnnnnnnnnnnn.Natamka baraka za MUNGU kwa kila mmoja ndani ya mwaka 2020
Bwana awabarikie na kuwalinda,
Bwana awaangazie nuru za uso wake na kuwafadhili,
Bwana awainulie uso wake na kuwapa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina sana mpendwaNatamka baraka za MUNGU kwa kila mmoja ndani ya mwaka 2020
Bwana awabarikie na kuwalinda,
Bwana awaangazie nuru za uso wake na kuwafadhili,
Bwana awainulie uso wake na kuwapa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana jamani Shem...Kheri ya mwaka shemeji
Usingizi tuu jamani mdogo wangu mzuri
Utaona kesho tuuKwa wakati huu uwezo wangu wa kuona hauko ktk kiwango cha siku zote![]()
Same to you dearHappy new year
Nipe maelezo tu nilale nikiwa na idea tayari dada mpendwaUtaona kesho tuu
Hivi tunazungumzia nini eti jamaniNipe maelezo tu nilale nikiwa na idea tayari dada mpendwa