Niliwahi kusoma Nomino wakati flani shule, kuna aina kadhaa za nomino, na kuna vitu flani eneo flani havipo so wanakua hawana jina la dude Hilo.
So kwa kuwa huku kwetu hilo dude hamna , na jina lake halipo pia
IMO( in My Opinion)
Hilo dude niliwahi kula kule mashariki ya mbali Wakati nasoma baada ya High school.
Sent from my iPhone using JamiiForums