Kwa uzee upi bwana acha kuchanganya watu, hivi mtoto umezaliwa late 80's au early 90's unasimama kujiita mzee kweli. Unautia uzee nuksi[emoji23][emoji23][emoji23]Khaaah!! Tunakukera kwa lipi labda? Kuambiwa wewe mdogo wakati kweli ni mdogo umakereka nini?
Mie nikiambia mzee walaa sikereki maana ni kweli, sasa sijui kwanini wewe unateseka[emoji134][emoji134][emoji1745][emoji1745]
Udogo raha sanaNakadiria, nikiwa na umri wako sikuwa namiliki simu. Nadhani hilo ni moja kati ya vitu ulivyonizidi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Udogo raha sanaSio kumiliki simu tu. Nimekushinda mengi
Hivi vyeusi namba ngapi?
Nawe ushaniona mtoto mwenzio!!!!30 mnajiita wazee.. mkifika 50 sijui itakuaje.
Hahaha wewe tena
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakadiria, nikiwa na umri wako sikuwa namiliki simu. Nadhani hilo ni moja kati ya vitu ulivyonizidi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka asubuhi hii umekunywa chai kweli[emoji134][emoji134][emoji134]Kwa uzee upi bwana acha kuchanganya watu, hivi mtoto umezaliwa late 80's au early 90's unasimama kujiita mzee kweli. Unautia uzee nuksi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa uzee upi bwana acha kuchanganya watu, hivi mtoto umezaliwa late 80's au early 90's unasimama kujiita mzee kweli. Unautia uzee nuksi[emoji23][emoji23][emoji23]
Vinanitosha kabisa. Unajua pa kuvileta tafadhali.
Sijanywa chai, nimekula chapati mbili na supu ya utumbo[emoji23][emoji23]Kaka asubuhi hii umekunywa chai kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha wewe tena
Nani aliandika hivyo?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]hiyo "late 80s au early 90s" kama vile nimewahi kuiona mahali sijui wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana[emoji134][emoji134][emoji134]Sijanywa chai, nimekula chapati mbili na supu ya utumbo[emoji23][emoji23]
Nani aliandika hivyo?
Sasa umekumbuka unaacha kusema tena!!!
Hahaha dah ila Mme mmisi mambo mazuri mazuri ya miaka iyo