Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona hukupenda swali. Nilikuwa kwenye mshangao. Sorry.

Sent using Jamii Forums mobile app
Your apologies is accepted..
Old school songs nilizonazo zipo kama 1800+ hapo kwenye screenshot sidhani kama zinaonekana hata 200. Umeona cgache kuliko nyingi zilizobakia..
Old song mimi hua naziita zile za kuanzia 2014 mpaka 2000
 
Haha Tabata ipi maana Tabata kubwa halafu kuna sehemu za kishua na za uswahilini

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheh...
Tabata ipi hiyo ya kishua, labda miaka ile ya 94 hadi 97 wakati ndio Tabata imeanza vamiwa na wenye hela...

Before hapo ilikuwa madimbwi ya maji kunalimwa mpunga na baada ya hapo kumekuwa slum...walau Tabata Kinyerezi na Segerea ndio kuna ushua kidogo
 
Tabata Bayma...ndio Tabata Bima 😀😀 kuna rafiki angu mmoja anaishi huko, Tabata shule uwahilin kama Mwananyamala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…