Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji848][emoji848]unamuogopa mkeo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Simuogopi mkuu, tatizo gia ya kuingilia home ndio ilikuwa changamoto.
Lakini tusha yamaliza, nimemwambia nilikuwa namsaidia Tito kwa wasio julikana ndiomaana nipigwa bomu....teh[emoji28]
Kwa hiyo hapa saizi amani tele...
tapatalk_1577347409835.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom