[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji847][emoji847]sikukuuu!!!!View attachment 1303887
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kavaa nguo imetoboka?
Ash wapi unazuga[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jr[emoji769]
Wako byeee!sijui wenzao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanetu hawajambo?
Wazima wa afya tele
Simuogopi mkuu, tatizo gia ya kuingilia home ndio ilikuwa changamoto.
Lakini tusha yamaliza, nimemwambia nilikuwa namsaidia Tito kwa wasio julikana ndiomaana nipigwa bomu....teh[emoji28]
Kwa hiyo hapa saizi amani tele...View attachment 1304001
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee kipindi hicho youtube haijaanza kulipa
Naona ipo juu kabisa
No! I just like their jersey[emoji28]
Nilipoona 3 idiots nilijua amir atakua ni mtu wa 25+ yrs kumbe jamaa mpaka sasa ana miaka 50+ ila anaonekana kijana..Cheki Barfi ni ya muda sana but one among the best.
Pia Amir Khan na yule Mtoto mwenyematatizo ya macho shuleni ni very nice
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Asante mkuu, nawe pia heri ya sikukuu.
Hizi movie nilipewa tuu ktk flash nafkiri pia zitakuwepo onlineNilipoona 3 idiots nilijua amir atakua ni mtu wa 25+ yrs kumbe jamaa mpaka sasa ana miaka 50+ ila anaonekana kijana..
Hua mnazipakua muvi zao online.?