Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
HayaWasalimie uendako auntie.
HayaWasalimie uendako auntie.
Huo mwaliko uko wapi[emoji25][emoji25][emoji25][emoji25] daah sasa unaleft kisa haujapokea mualiko jamani?? tatizo ukiitwa huku hauji ulitaka tufanyaje eti?? [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibu sikukuu dada mpendwa
Nakuja mimi jamani [emoji1780][emoji8]kwani [emoji73]si ulikuwa na mimi kwa xmas? hiyo si inatosha zaidi ya vyote...!
ukuje basi sasa huku family room tufungue zawadi [emoji3590][emoji131]
#UnWrappinNakuja mimi jamani [emoji1780][emoji8]
[emoji8]
Tusio na vya kufungua ngoja tukazurure tu.View attachment 1303840
Tena wewe hata usiongee, nimekununia.Hata kufungua mlango na kwenda nje kuzurura kula bata pia ni kufungua [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tena wewe hata usiongee, nimekununia.
Acha kunisingizia jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji85] tatizo hujatoa ushirikiano. Hata number hujatoa [emoji23], nimechungulia inbox muda wote, kitu inbox zero mwanzo mwisho.
Sent from my iPhone using JamiiForums
HahahaHata kufungua mlango na kwenda nje kuzurura kula bata pia ni kufungua [emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Badala ya kubembeleza weye wanuna...Tena wewe hata usiongee, nimekununia.
Kwani wao hawana sikukuu, mbona mimi ninayo na nimekula nyama na mvinyo[emoji39][emoji39][emoji39]
You have my thoughts and prayer rafiki...you shall overcome.Amen Anne, thank you much
Wewe mnununo umeongezeka.Badala ya kubembeleza weye wanuna...
Mkwe nakusalimu
Shikamoo kaka Eli.Kwani wao hawana sikukuu, mbona mimi ninayo na nimekula nyama na mvinyo[emoji39][emoji39][emoji39]
Shee na wewe nimekununia.
Mkwe ujue sisi hatujapatana barabarani...Wewe mnununo umeongezeka.