Mwenyewe nimeona imepata reviews za maana. Ila ratiba zangu zimenifanya naangalia episode ya kwanza karibia wiki sasa. Labda baada ya usiku wa leo ntaweza kusema kitu.
Ikawaje sasa, mkuu? Maana kwa yanayoendelea ulimwenguni sasa, sidhani kama bado anaupenda. Global warming, wasiojulikana, magonjwa ya ajabu, njaa, n.k.
Mimi toka saa 9 nimeweka playlist ya nyimbo za old bongofleva mpka sasa nipo nasikiliza..zipo 1881
Hadi zote ziishe itanichukua masaa 143.
Mziki wa zamani ulikua mziki mtamu sana nimeona..D knob na Jeby nimewasikiliza sana leo View attachment 1303548
Mwenyewe nimeona imepata reviews za maana. Ila ratiba zangu zimenifanya naangalia episode ya kwanza karibia wiki sasa. Labda baada ya usiku wa leo ntaweza kusema kitu.
Ikawaje sasa, mkuu? Maana kwa yanayoendelea ulimwenguni sasa, sidhani kama bado anaupenda. Global warming, wasiojulikana, magonjwa ya ajabu, njaa, n.k.
Ikawaje sasa, mkuu? Maana kwa yanayoendelea ulimwenguni sasa, sidhani kama bado anaupenda. Global warming, wasiojulikana, magonjwa ya ajabu, njaa, n.k.
Mimi toka saa 9 nimeweka playlist ya nyimbo za old bongofleva mpka sasa nipo nasikiliza..zipo 1881
Hadi zote ziishe itanichukua masaa 143.
Mziki wa zamani ulikua mziki mtamu sana nimeona..D knob na Jeby nimewasikiliza sana leo View attachment 1303548View attachment 1303549