Dunia ipo mbali sana, kuna hotel moja nilienda kuna sehemu nilichemka nikalala bila kuoga bafu koki siioni
Sent using Jamii Forums mobile app
Damn Too expensive [emoji23] 67, 88 Bucks? [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]. How many kilos ? Kweli hatufanani.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haha kuna hoteli ukifika chooni hauoni choo unakuta chumba tu kitupu kumbe ni hadi utumbukize kadi mahali ndiyo choo kinajitoa ukutani sasa ukiwa mshamba kama mimi wallah unaachia haja zote hapo hapo huku unajiona
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa.
Thatβs a rib roast.
They donβt come cheap.
But hey, itβs the holidays....
You might as well do it right.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Lakini ajabu wachungaji, mapadre,maaskofu, mitume ni wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo yale maembe mabichi
Wanaume na kanisani sijui kwanini tu[emoji134]
It depends on who grants you that privilege,, to me getting a privilege from a person like me can't be considered an honour.. please
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa.
Sasa ikitokea hivyo unaenda mapokezi kuuliza.
Kuuliza si ujinga ndugu zanguni.
Hakuna ajuaye kila kitu dunia hii.
"A person like you". Okay, as you say, I guess.
Hakuna simu?Hahahaha sasa hapo unakuta umebanwa mambo yote yako mlangoni hadi unashindwa kutembea miguu imeweka alama ya x,, unaendaje mapokezi ndiyo kimbembe sasa..
Yaani hapo ni hadi atokee anayejua hayo au msamaria mwema akubali kuulizia mapokezi na kukurudishia taarifa ndiyo pona yako,, vinginevyo tutazungumza habari nyingine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna simu?
Hahah haya nimeacha mkwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu niwache kwanza mkwe, usinichulie kabisaaaa.
πππ nani huyo?
Merry Christmas mpendwa πMremboo [emoji7]π₯°