Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Chips mayai wapi mama sie wenyewe nguna tunapiga sana ila nimeshangaa huo msosi sababu kwanza kabisa mie sipendi samaki wasio na magamba,, pili mie siyo mpenzi wa mlenda na wala sijawahi kuula maishani mwangu,, tatu siwezi changanya dona na muhogo heri nikule kimoja nijue moja,, nne ngoja niweke kapuni..

Though najua hivyo vitu ni vitamu ila mie tu ndiyo sijaamua kuvijaribu

Nyie wa chipsi mayai hamuwezi hayo mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okey.
 
Mkuu hatari sana mimi nimeshamaliza ambaye hajapata mpaka next year, hapa nnaenda kutafuta kwa ajili ya yatima na wajane...Neno katika bible limeniambia dini ya kweli ni kujali yatima na wajane, hilo tuu nimebakisha kisha nafunga siku yangu mpaka tarehe 26 tenaView attachment 1302338
Pesa ya mauzo ya tiles rudisha bank ikazungushe
 
Mkuu hatari sana mimi nimeshamaliza ambaye hajapata mpaka next year, hapa nnaenda kutafuta kwa ajili ya yatima na wajane...Neno katika bible limeniambia dini ya kweli ni kujali yatima na wajane, hilo tuu nimebakisha kisha nafunga siku yangu mpaka tarehe 26 tenaView attachment 1302338
Unyanyapaa mchana kweupeee mangi.
 
Freedom, Tommy Hilfiger
20191224_072642.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom