[emoji41]non of the aboveAre you John or Shabani? [emoji41]
Hao wakavu waungwe vizuri na mchuzi mzitoo wa nazi, na kamlenda na kaugali ka dona kalikochanganywa na muhogo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Am hurt[emoji24][emoji24]
Mboga ya karanga kivipi?Hawa kwetu tunachanganya na mboga ya karanga.
Mboga ya karanga kivipi?
Wow!! Umejuajeeee, naihitaji balaa!!
Mbona uliiona maana niliona like yako[emoji848][emoji848][emoji848]
Oooh!! Hiyo inatumika badala ya nazi right?Kama uji, ila wa karanga sasa.
Khaaa!!Sijaona [emoji85]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wow!! Umejuajeeee, naihitaji balaa!!
Oooh!! Hiyo inatumika badala ya nazi right?
Nipo mlangoni PM naomba niruhusu niingia...View attachment 1302210leo baridi limetustahi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha tu. Nimesemwa sana na kitambi changu, imebidi nijizawadie.
Sijawahi kujaribu karanga kwenye samaki lol!!Na nazi unaweka ukitaka. Yaani unasaga karanga, unaweka baada ya kukaanga vitunguu na mazagazaga kama hayo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kakusema?
Sijawahi kujaribu karanga kwenye samaki lol!!