Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,290
- 108,312
Wanajua wapo Jeiefu?
Hawawekagi hizo vitu nyingi ni mchinaHahah!!
Lakini si zipo shopping places za kwenu pia
Sio vile nyie sio wanunuaji wa vitu ziko expeee?Hawawekagi hizo vitu nyingi ni mchina
Hahaha ww hivi vitu mtumbani utanunua tu hata kama bei ghalSio vile nyie sio wanunuaji wa vitu ziko expeee?
Dah akhsante SanaKaribu mdogo wangu, I am just a phone call away



We jamaa una kiwanda Cha perfume?Hugo Boss, The Scent.
View attachment 1299289View attachment 1299290
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahakweli kazi ya Holy Spirit sio mchezo![]()
Siku nefu ndio ikoje? 😀😀
Wwe Nawe katundu.Siku nefu ndio ikoje?![]()


Ndio kumekuwa vizuri hivi au ni mo town gani unayoizungumzia mrembo...Ni motown
m
😀😀 jamani me nimeuliza tu
Hahaha ww hivi vitu mtumbani utanunua tu hata kama bei ghal
.heri ununue ghali kimoja kitakaaa sana kuliko kununua chee sku2 kimeharibika
Ni ile haina "d" kati ya "n" na "e"Siku nefu ndio ikoje?![]()
😀😀😀 dah! Basi sawaNi ile haina "d" kati ya "n" na "e"