Mmh!
Sijawahi jaribu...
Ila kwa ulaini wa samaki i guess ukimtia kwa hiyo sufuria unaweza ishia pata uji wa samaki...
Njia nzuri za kumpika samaki ni kumdeep fry au kukata minofu na kuichoma juu ya kikangio kwa mafuta machache, limao na viungo vya kunyunyiza
Ila samaki anaweza iva vizuri kama muda atakao set ni sahii na temperature pia...njia nyingine atumie foil na viungo vyote atumbukize kwenye tumbo la samaki akamulie limao nk itanoga mno na ataiva vizuri kwa msaada wa Hornet
Ila samaki anaweza iva vizuri kama muda atakao set ni sahii na temperature pia...njia nyingine atumie foil na viungo vyote atumbukize kwenye tumbo la samaki akamulie limao nk itanoga mno na ataiva vizuri kwa msaada wa Hornet
Yes this might work as well, maana kwa kumuweka kwa foil unataka aive taratibu kwa njia ya mvukisho huku nyqma ikifyonza viungo taratibu...
Hivi mzee baba unajua great chefs wengi ni wanaume...
Hahah...upishi ni sanaa, fanya kupika vile unatamani msosi utaotaka ule utokee
Hahahaha kula vizuri pia ni sehemu ya kujipenda
Kwanzaa nimtoe samak nimuweke viungo nianze kumfunga kwa foil
Huo muda Bora Nile nanasi tu nilale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hivi unajua nansi unaweza ipika kama dessert?Kwanzaa nimtoe samak nimuweke viungo nianze kumfunga kwa foil
Huo muda Bora Nile nanasi tu nilale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha yawezekana ni kweli nafichwa lakini niko na huu uzi sambamba,, sijawahi kuona picha yako hata kwa bahati mbaya..
Achilia mbali zile za bahari na ile ya siku ile
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah najua mkuu, hotel nyingi chefs ni wanaume hiyo haiingiki, hata kwenye vipindi mbalimabli vya mapishi unakuta wanaume ndiyo wana host mfano chanell ya foodnetwork
Hahahaha kula vizuri pia ni sehemu ya kujipenda
Halafu hivi unajua nansi unaweza ipika kama dessert?
Naam mkuu...huwa nakuwa inspired na Gordon Ramsey haswa kwenye TV shows zake za Master Chef (US) na Hell's Kitchen
Hahaha...kazi kweli kweli...then migahawa inakuhusu
Hata pale sinza mugabe aiseee tena kuku wa kienyeji hizo chips ni viwango...Mgahawa nayo tabu tupu
Ila Kuna sehemu pale millennium nilikula kuku na sosi ya pilipili nipo napawaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay...we mama wa business...jam waweza tengeneza lakini msosi mvivu pika