Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
usichelewe kumpitia Ethan shuleni kama Jana ulivyofanya ndo mida yake hii π πBasi naacha kutaniana nae kuanzia sa hivi ππ―
Mkuu unakimbia vita???
You have a big mind.Kwenye kitabu cha Why We Want You To Be Rich, cha Donald Trump na Robert Kiyosaki kuna msitari unasema:-
βSometimes itβs best to walk away and live to fight another day,β and βChoose your battles carefully".
Kudaadeki
Nimevutiwa hadi na vidole tu!Jioni njema View attachment 1297322
Jioni njema View attachment 1297322
Sijaelewa Mshana Jr
Hapo sawa, maana unaweza sababisha nikaiacha hii ID
Eti kaniambia mm n mwanakondoo kwahyo napaswa kumfuata[emoji2][emoji38][emoji38]Tuwe makini na baba paroko aiseee
πππππ dah!!usichelewe kumpitia Ethan shuleni kama Jana ulivyofanya ndo mida yake hii π π
Ukiiacha hii ID ukahamia nyingine naomba uniambie
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hakawii kunibadilikia baba paroko.
Ila ok sina presha, nishatuma chocolate naskilizia kwanza
Chat na pichaNoted...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nasubiri kipyenga kipurizwe nibebe mpira hahahaha