Tunguli za Karma toka unyakyusani sio pouwa
ngoja nipandishe uzi wa kuomba lift 😎😎Mweeeeeh!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Tunaanza upyaaaaNaona anakimbizana na Mshana kwenye matunguli
HayaTunaanza upyaaaa
Embu shusha vitu
Comments zimejaa kule wamepunguzia huku
Wauunganishe na ule tuu
HapanaVipi aisee mod wamefuta reply? So mnaanza upya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ngoja nipandishe uzi wa kuomba lift 😎😎
Tunguli za Karma toka unyakyusani sio pouwa
Kufikia mwakani mpaka vilembwe watakuwa wamepatikanaNaona uzi wa selfie wa Karma uko na comments 14
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kufikia mwakani mpaka vilembwe watakuwa wamepatikana
Hahaha uko vizuri! Hapo ni nyasa tu bado haujapelekwa kule ziwa ngozi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeaga ziwa nyasa kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka wakutunuku uzi?!
unatuchezea wewe katoto, wakati ww ndio umeuanzisha.😀😀