Hahahah...yaani mwandiko tu ndio upate mchuchu? au jamaa alikuwa na mbwembwe za ziada kuchora makopa yenye kuchomwa na mikuki/mishale...
By the way hata huwa sina mwandiko mmoja...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kumbe inachekesha eeehh
Hebu hukooo, we nunda uniwache!!Kupatwa kwa upole
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani nimecheka kwa nguvu hadi dada kasema nitachizika na jf[emoji134][emoji134][emoji134]
Mkwe mie mpole sana.
Hebu hukooo, we nunda uniwache!!
Hebu waambie hawa manunda wananiona nunda mwenzao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nimekuwazia ukiwa mpole picha limegoma kabisa[emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23] hana noma na mtuHuyu mkuu inabidi apewe tuzo.View attachment 1295255
We nunda mzoefu.Hahahaha hivi unajua mimi personality yangu inategemea na mtu unayemuuliza,, kuna watu ukiwauliza mimi nikoje watakuambia mimi mpole na kuna wengine watakuambia mimi cha mlomo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe[emoji119][emoji23][emoji23][emoji23] hana noma na mtu
Oooh!!
Naja[emoji125][emoji125][emoji125]
Hata haujaangalia halafu unasema hivyo[emoji134][emoji134][emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] kiruu Mungu baba wa mbinguni
Sent using Jamii Forums mobile app
Inabidi tukubali tu kuwa ndege kasuku naye ni mpole [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
HahahahahahaMuone kwanza[emoji57]
HuhDefo Dadake.
We haya tuu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni kwenye huu uzi tuHata wewe[emoji119]
Hahahaah
Usiombe uwe monitress, hiyo kitu ilinitesa sana jamani
Kumbe hilo unalijua eeh?Hahahahahaha
Tatizo huamini ujue