Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,530
- 235,273
[emoji3166][emoji3166] Depal karibu tupige tarumbetaView attachment 1294931
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee dada [emoji28][emoji28][emoji28] unatumia vitu vizito
Ndio madogo wa town hawa unashangaa vitu vinaisha hela hamnaa. .akiandika inasaidia kupiga hesabu na kumjua MchawiKuna mtu unakuuzia
Nyie endeleeni tu kufaidi.Daah kumbe watumiaji wa TTCL bado tuna safari ndefu ya kuendelea kufaidi vifurushi vyao vya bei poa?? Yaaaaass!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Au sio? Me ndio nikikupelekaga bar [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]Dear weather.....
Hii mvua ya daslam balaaaView attachment 1294956
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mdogo wangu na wewe mkorofi haya ulimpasua nani[emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi ninaye mmoja ananisumbua alikuwa anachukua kwa ujanja ila sasa kazidisha najua nina mpango nitafute mwengine muaminifu kiasi.Ndio madogo wa town hawa unashangaa vitu vinaisha hela hamnaa. .akiandika inasaidia kupiga hesabu na kumjua Mchawi
pia kuna wanaokopa akinote inasaidia pia
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Yewooomi!![emoji134][emoji134][emoji134]
Hii ni sambusa ya senene aluuuu
Ati Nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza siku ile hujanilipa hata kidogo [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunywa home mpenzi
Dear weather.....
Hii mvua ya daslam balaaaView attachment 1294956
Sent using Jamii Forums mobile app
Mali bila daftari......[emoji2][emoji2][emoji2]
Cc Smart911 View attachment 1294957
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Hela ndogondogo nachukua siachi hata senti
Cc Smart911 View attachment 1294911
Sent using Jamii Forums mobile app
Juice man made pia inapatikana
Ya parachichi na pasheni pia kuna ya tikiti maji parachichi pasheni karoti bila kusahau ka radha ka tangawizi na mdalasin kwa mbaaaliii [emoji2][emoji2]
Cc Smart911 View attachment 1294900
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice[emoji7][emoji7][emoji7][emoji122][emoji122][emoji122]Nauza na maji spesho na ya mtumba hapo kabiashara ndo Kameanza badae ntanunua jiko kubwa [emoji2][emoji2]
Cc Smart911 View attachment 1294894
Sent using Jamii Forums mobile app
.Kunywa home mpenzi