Anza kumwaga sera itetee ilani yako, huenda akamuacha samweli boda boda
Naweza fanya hili.. ila nahisi hiki ni kipaji amabacho nishakiua.Mchoraji mzuri ni yule ako na kipaji, anaweza fanya imaginations kuwa reality...
Hizo mambo za kusomea ni kuongeza tu ufanisi...
Asantee mchepuko japo napenda IST. View attachment 1294336View attachment 1294337View attachment 1294338
Sent using Jamii Forums mobile app
Haters watasema ya kaka Mshana!
Si kwa ubaya ila hii gari ni old school sana mazee 😂😂😂!!!Asantee mchepuko japo napenda IST. View attachment 1294336View attachment 1294337View attachment 1294338
Sent using Jamii Forums mobile app
No najua tu kuchora kawaida though hua sifanyi mazoezi sana...
NiniHahhaaa
Kajumba kazuri
Jr[emoji769]
Nilipokua primary ndio nilikua nafanya sana hii.. ila now ata sikumbuki mara ya mwisho ni lini. Nataka nijikite tu kwenye vipaji vingine ambavyo nahisi ninanvyo.. Uandishi na utunzi wa nyimbo..Mazoez huongeza ufanisi..katika fani hii ya uchoraji..pia kuchora kunahitaji commitment na muda..Mana picha moja inaweza ikachorwa hata kwa siku tatu...mim hii naifananisha na mazoezi ya gym...
Sent using Jamii Forums mobile app
Victoria hapa...
I saw you jirani.
Unaweza ukakifufua, unajua kipaji huwa hakifi bali kinalala tuNaweza fanya hili.. ila nahisi hiki ni kipaji amabacho nishakiua.
Si kwa ubaya ila hii gari ni old school sana mazee [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Hivi mtu unaanzaje kuagiza gari ya 1998 mwaka 2019 jamani. Kuna redesign za hio gari kama toleo 4 mbele ila bado watu wanaagizaga old model tu!
Si kwa ubaya ila hii gari ni old school sana mazee [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Hivi mtu unaanzaje kuagiza gari ya 1998 mwaka 2019 jamani. Kuna redesign za hio gari kama toleo 4 mbele ila bado watu wanaagizaga old model tu!
Hongera, nisiseme nimekuonea wivu maana mm sio demu,
Kabisaa
Sikupendi tena[emoji41][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]