win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 11,270
- 38,156
kigori hiyo veeeep wakati nina kg zangu 80😎Bro. Yaan ndan ya miaka 2 uongezeke mara 3 zaidi?.☺☺☺.
Yaan kama umeongezeka na kwa urefu wako huo. Basi upo kwenye kilo 60-65.
Ww bado kigori sana ujue.